Alphadictionary.com

Swahili Tongue-Twisters

  • Wale watu wa liwali wala wali wa liwali.
  • The headman's people eat the headman's rice.
  • Kale kakuku kadogo ka kaka kako wapi kaka?
  • Where are your chickens, brother?
  • Katibu Kata wa Kata ya Mkata amekataa katakata kukata miti katika kata ya Mkata.
  • The chief of Mkata district has forbidden the cutting of trees in the Mkapa district.